Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitayosce yawakuta! Kisa mechi yao dhidi ya Azam FC

Kitayosce Tatzo Lao Kitayosce yawakuta! Kisa mechi yao dhidi ya Azam FC

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Tabora United imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kuchelewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Agosti 16, mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Kitayosce iliingia Uwanjani na wachezaji nane pekee ambapo walipoteza kwa mabao 4-0 kabla ya Mwamuzi kumaliza mchezo huo kikanuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: