Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitayosce hali tete, wafungiwa tena na FIFA

Kitayosce Tatzo Lao Kitayosce hali tete, wafungiwa tena na FIFA

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tabora United inayoshiriki Ligi Kuu Bara imefungiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya wachezaji wa wawili Emmanuel Lamptey na Collins Gymfi kushinda kesi za madai dhidi ya klabu hiyo.

“Wachezaji hao raia wa Ghana walifungua kesi FIFA wakidai malipo ya ada ya usajili (sign on fee) na malimbikizo ya mishahara”

"Klabu iltakiwa iwe imewalipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipoletwa, lakini haikutekeleza hukumu hiyo," imeeleza taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)

Pia TFF imeifungia klabu hiyo kufanya uhamisho wa ndani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live