Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitasa Yanga avuta jiko

Bacca Afunga Ndoa.jpeg Ibrahim Bacca afunga ndoa

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati wa klabu ya Yanga Ibrahimu Bacca leo Ijumaa Oktoba 6 amevuta Jiko , (amefunga ndoa) Jijini Dar es Salaam.

Yanga itakuwa na mchezo wa Ligi CCM Kirumba Mwanza dhidi ya Geita Gold na Beki huyo hatakuwa sehemu ya kikosi.

Kila la kheri Bacca Kwenye maisha mapya ya ndoa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: