Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kit Manager wa Simba SC afiwa na mkewe

Kit Manager Wa Simba SC Afiwa Na Mkewe Kit Manager wa Simba SC afiwa na mkewe

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kit Manager wa timu ya Simba Hamis Mtambo amefiwa na mke wake ambaye alikuwa anaishi mkoani Iringa.

Kit Manager wa timu ya Simba Hamis Mtambo amefiwa na mke wake ambaye alikuwa anaishi mkoani Iringa. Amepokea taarifa ya kifo Cha mke wake usiku wa jana na leo mapema ameondoka kwenda mkoani Iringa kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live