Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kisa tano za Yanga, shabiki akimbia ofisi, ahama nyumbani kwake.

FB IMG 1699937757505 Kisa tano za Yanga, shabiki akimbia ofisi, ahama nyumbani kwake.

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shabiki wa Simba SC, anayejiita ‘King Laudit Mavugo’ kutoka Mbinga Ruvuma kabla ya Derby ya Kariakoo ya Novemba 5, 2023, aliahidi kutoa Kilo moja ya mchele kwa kila shabiki wa Yanga kama timu yake ya Simba SC ingefungwa na Yanga SC.

Baada ya Simba SC kufungwa magoli 5 - 1 na Yanga SC, mashabiki zaidi ya (200) wa Yanga SC walikwenda dukani kwake wakihitaji bidhaa hiyo aliyoahidi.

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Aziza Mangosongo ndiye aliyemuokoa ‘mwamba’ huyo na masaibu ya ahadi yake baada ya kuagiza Jeshi la Polisi kumsaidia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live