Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kisa kutemwa, asusa na kufuta picha zote za Timu ya Taifa

Bissouma Yves Bissouma

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa klabu ya Tottenham Yves Bissouma (27) amefuta picha zake zote alizokuwa na jezi za timu ya Taifa ya Mali kwenye page zake za mitandao ya kijamii na ku-unfollow page ya shirikisho la soka la Mali (FEMAFOOT) kutokana na kutojumuishwa kwenye kikosi cha Taifa hilo kitakachocheza mechi ya kirafiki dhidi ya Nigeria

Kocha Mkuu wa Mali Sékou Chelle amesema hakumchagua Bissouma kwenye kikosi chake kwa sababu kwa sasa anaona wapo wachezaji wanaomzidi kiungo huyo ambao pia wanafaa kwenye mfumo wake.

Inasemekana Bissouma ambaye pia ana uraia wa Ivory Coast hana maelewano na kocha huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live