Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kisa kunyimwa penati, Al Ahly wapanga kumshtaki Refa

GJ6Eya0XkAAL51U.jpeg Kisa kunyimwa penati, Al Ahly wapanga kumshtaki Refa

Sat, 30 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi zinadai kuwa Al Ahly wamepanga kuwasilisha malalamiko kwa CAF dhidi ya wanachokiita "upangaji mbaya wa mchezo" kutoka kwa mwamuzi wa Afrika Kusini, Tom Abongile.

Tetesi zinadai kuwa Al Ahly wamepanga kuwasilisha malalamiko kwa CAF dhidi ya wanachokiita "upangaji mbaya wa mchezo" kutoka kwa mwamuzi wa Afrika Kusini, Tom Abongile. Al Ahly wanadai kwamba walipaswa kupewa mikwaju miwili ya penalti usiku wa jana na pia hawakuelewa kwa nini VAR haikumuita mwamuzi huyo kwa ukaguzi kuhusu tukio la Modeste.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live