Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kisa Ronaldo Vincent Aboubakar afungashiwa virago Al-Nassr

Vincent Aboubakar Ronaldo .jpeg Kisa Ronaldo Vincent Aboubakar afungashiwa virago Al-Nassr

Sun, 8 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al-Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia imekatiza mkataba wa mshambuliaji wa Cameroon Vincent Aboubakar ili kumpisha straika mpya Cristiano Ronaldo.

Kwa mujibu wa kanuni za ligi hiyo, klabu zinaruhusiwa tu kuwa na wachezaji wanane wasio raia wa Saudi Arabia.

Kabla ya ujio wa Ronaldo, Al-Nassr ilikuwa imefikisha idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kwa hivyo ilikuwa lazima mmoja wao angetimuliwa ili kutengeneza nafasi ya nyota huyo wa Ureno.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live