Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kisa Klabu Bingwa, Staa aikacha Simba Queens

Staa Simba Queens Mshambuliaji wa klabu ya Simba Queens, Corazone Aquino

Sat, 8 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Queens, Corazone Aquino inaelezwa yupo mbioni kutua Buja Queens ya Burundi inayojiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwezi ujao.

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Queens, Corazone Aquino inaelezwa yupo mbioni kutua Buja Queens ya Burundi inayojiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwezi ujao. Nyota huyo wa Harambee Starlets, timu ya taifa ya Kenya ameonekana akifanya mazoezi na timu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live