Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipre 'assists master'

Kipreee.jpeg Kipre Junior

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipre Junior wa Azam FC ndiye kinara wa asisti kwa msimu wa 2023-24 akipiga pasi 9 zilizozaa mabao akifuatiwa na Stephane Aziz Ki wa Yanga (8) huku wenye saba kila mmoja ni Yao Kouassi (Yanga), Clatous Chama (Simba), Lusajo Mwaikenda (Azam), Feisal Salum (Azam) na Clement Mzize wa Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live