Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipigo cha Yanga, Kocha Coastal aulalamikia Uongozi

Coastal Kipigo Wachezaji wa Coastal Union wakipasha misuli kabla ya mechi dhidi ya Yanga

Wed, 21 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kaimu Kocha Mkuu wa Coastal Union, Joseph Lazaro akizungumza na wanahabari baada ya mchezo wa Ligi kuu NBC dhidi ya Yanga ameulalamikia uongozi wa timu hiyo kuwa ndio chanzo cha kupata matokeo mabaya klabuni hapo.

Kaimu Kocha Mkuu wa Coastal Union, Joseph Lazaro akizungumza na wanahabari baada ya mchezo wa Ligi kuu NBC dhidi ya Yanga ameulalamikia uongozi wa timu hiyo kuwa ndio chanzo cha kupata matokeo mabaya klabuni hapo. Coastal ilikubali kichapo cha magoli 3-0 kutoka kwa Yanga mchezo uliopigwa katika Dimba la Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live