Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipigo cha Simba, Aucho atoa neno kwa Mashabiki

Khali Aucho Kh Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho

Mon, 17 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho amewatuliza mashabiki wa Klabu yake baada ya kupoteza mchezo dhidi ya watani wao Simba SC kwa mabao 2-0.

Aucho amesisitiza kwenye ukurasa wake wa instagram kuwa watarudi wakiwa imara zaidi na kuwekeza nguvu zao kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Rivers United ya nchini Nigeria kwenye Kombe na shirikisho hatua ya Robo fainali.

Aucho ameandika;

“To all our loved fan we let you down today but we shall come back stronger thanks for you support yanga family we focus on the next game in Nigeria let's be together yanga family”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live