Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipigo cha Morocco chazua vurugu Ubelgiji

Fans Belgium Riots.jpeg Mashabiki wa Ubelgiji wazusha vurugu katika mji wa Brussels

Mon, 28 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vurugu kubwa zimetokea jijini Brussels nchini Ubelgiji, baada ya mashabiki kukasirishwa na na matokeo ya timu yao ya taifa kufungwa 2-0 na Morocco katika mchezo wa kombe la dunia jana.

Vurugu kubwa zimetokea jijini Brussels nchini Ubelgiji, baada ya mashabiki kukasirishwa na na matokeo ya timu yao ya taifa kufungwa 2-0 na Morocco katika mchezo wa kombe la dunia jana. Mashabiki hao wamevamia mitaa na kufanya uharibifu wa mali kwa kuchoma moto magari na kuvunja maduka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live