Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipigo cha Bao 6-1, wachezaji kuwalipa Mashabiki gharama za Tiketi

Wachezaji Tot Kulipa Tiketi.jpeg Wachezaji wa Tottenham wakiwa wamenyong'onyea baada ya kipigo cha bao 6-1

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa Tottenham wamejitolea kuwalipa mashabiki wa timu hiyo tiketi zao za mchezo wa Newcastle baada ya kupokea Kipigo kizito Cha Goli 6-1.

Wachezaji wa Tottenham wamejitolea kuwalipa mashabiki wa timu hiyo tiketi zao za mchezo wa Newcastle baada ya kupokea Kipigo kizito Cha Goli 6-1. Mchezo huo uliondoka na kibarua cha Kocha wa muda wa Tottenham ambae alifungashiwa virago baada ya dhahma hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live