Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipigo cha Aston Villa chaacha rekodi mbaya kwa Pep Guardiola

Pep Guardiola Time MGT Kocha Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika mchezo wa Jana Disemba 6, dhidi ya Aston Villa, Manchester City ilipiga mashuti mawili pekee kwenye lango la Villa,ikiwa ndiyo idadi ndogo zaidi ya mashuti kupigwa na kati ya timu zilizowahi kufunzwa na Pep Guardiola katika historia yake ya ukufunzi.

Aidha, mashuti 22 waliyopiga Villa kwenye lango la City, yalikuwa ndio mashuti mengi ambayo Man City wakiwa chini ya Pep Guardiola wamekutana nayo

Manchester City hawajashinda mechi 4 mfululizo za Primia Ligi.

Man City 4 - 4 Chelsea

Man City 1 - 1 Liverpool

Man City 3 - 3 Tottenham

Man City 0 - 1 Aston Villa

Je unadhani wataweza kutetea Ubingwa wao? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live