Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipa Azam FC apelekwa Afrika Kusini kwa Matibabu

Kipa Azam FC Matibabu Kipa Mghana wa Azam FC, Iddrisu Abdulai

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa Mghana wa Azam FC, Iddrisu Abdulai ameondoka nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi kuelekea Afrika Kusini, kwa ajili ya kufanyiwa matibabu ya bega lake la mkono wa kushoto katika Hospitali ya Vincent Pallotti, iliyopo jijini Cape Town.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live