Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinyozi wa Messi ampa Ballon D'or mteja wake

Messi Kinyozi Kinyozi wa Messi ampa Ballon D'or mteja wake

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinyozi wa Lionel Messi ameweka ujumbe kwenye Instagram yake unaothibitisha kuwa nyota huyo ameshinda tena tuzo ya Ballon d'Or

"Nimemuandaa Messi kwa ajili ya kesho, ni siku muhimu kwani atashinda tuzo yake ya nane ya Ballon d'Or”

“Asante Messi kwa kuendelea kuniamini na kunipa baraka ya kufanya unyoaji mkubwa zaidi kesho dunia nzima itaona mtindo huu wa nywele niliokunyoa”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live