Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kingsley Coman kuwakosa Arsenal Ujerumani

Kingsley Coman Inj Kingsley Coman kuwakosa Arsenal Ujerumani

Sun, 14 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Bayern Munich Kingsley Coman jana alishindwa kuendelea na mchezo dhidi ya Koln mara baada ya kupata majeraha kwenye mchezo huo.

Hii ni bahati mbaya sana kwa Coman mana ametoka kwenye majeraha siku chache tu na sasa anapata tena jeraha.

Kutokana na jeraha hilo huenda Kingsley Coman asiwe sehemu ya kikosi ambacho kitacheza dhidi ya arsenal kwenye mchezo wa marudiano wa ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) ambao utapigwa april 17 pale Allianz Arena.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live