Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda wa Getafe aweka rekodi Taifa Stars

Jabir Seif Mpanda Jabir Seif Mpanda

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ikipoteza 2-1 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Sudan, Kinda wa kimataifa wa Tanzania anayecheza timu ya vijana ya Getafe ya ligi kuu Hispania Jabir Seif Mpanda amecheza mchezo wake wa kwanza akiwa na timu ya wakubwa.

Jabir akiwa na umri wa miaka 17, aliingia kwenye kikosi cha Taifa Stars akitokea benchi kucheza mchezo wake wa kwanza wa kimataifa akiwa na timu ya wakubwa huku akiwa ndio mchezaji mwenye umri mdogo zaidi uwanjani.

Stars jana ilipoteza mchezo huo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Sudan kwa kufungwa 2-1, huko nchini Saudi Arabia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live