Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda wa ASEC asajiliwa Sweden

Kinda ASEC Toure Bozoumana

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bwana mdogo anaitwa Toure Bozoumana [miaka 18] nafasi yake ni kiungo alikuwa anazima pale Asec Mimosas mara moja moja ,ukiacha ligi ya ndani alipewa game moja ya CAF Champions League dhidi ya Jwaneng Galaxy akacheza dakika 19 zikatosha kukamilisha ripoti ya scout wa klabu ya Hammarby ya Sweden jamaa wamemchukua dogo kasaini miaka mitano.

Bwana mdogo anaitwa Toure Bozoumana [miaka 18] nafasi yake ni kiungo alikuwa anazima pale Asec Mimosas mara moja moja ,ukiacha ligi ya ndani alipewa game moja ya CAF Champions League dhidi ya Jwaneng Galaxy akacheza dakika 19 zikatosha kukamilisha ripoti ya scout wa klabu ya Hammarby ya Sweden jamaa wamemchukua dogo kasaini miaka mitano. #ProjectTheFuture ikitokea umeaminiwa sehemu hakikisha unaonesha na unafanya kwa ukubwa bila kujali umepata nafasi kwenye mazingira gani

Chanzo: www.tanzaniaweb.live