Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda huyu wa kutazamwa sana 2023/24

Elie Kroupi Jr.jpeg Elie Kroupi Jr

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya majina yanayokuja vizuri sana pale Ufaransa ni jina la kijana huyu mwenye umri wa miaka 17.

Mpaka muda huu kwenye Ligue 1 amefunga mara 3 na kutoa pasi 2 za mwisho akiwa na Lorient.

Kwa wale waliofuatilia mpira zamani, huyu ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa Ivory Coast, Eli Kroupi Zahi ambaye alicheza timu nyingi sana za Ufaransa ikiwemo Lorient anapocheza mtoto wake.

Mpaka muda huu kwenye Under 17 ya France amefunga mara 7 kwenye michezo 7.

Sifa kuu licha ya kuwa centre forward ana uwezo wa kulinda mali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live