Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda atishia nafasi ya Casemiro, Amrabat Man United

Skysports Mainoo Kobbie Man Utd 6373626 Kobbie Mainoo

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kobbie Mainoo namba 6 ya mpira akili, akili, akili,hiyo ndiyo sifa namba moja ya huyu jamaa.

Muda wote anafanya mikimbio sahihi kuna Muda anashuka chini kwa Maguire na Victor ili kutengeneza Back3 ya Uongo.

Ni mzuri kwenye mapambano ya chini ma Hewani pia ni passer mzuri sana No Casemiro No problem

Chanzo: www.tanzaniaweb.live