Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda Man United hati hati kupigwa chini England

Kobbie Mainoo Man Utd Kinda wa Manchester United, Kobbie Mainoo

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota chipukizi wa Manchester United Kobbie Mainoo huenda asiitwe na kocha wa Uingereza Gareth Southgate wiki hii.

Nyota chipukizi wa Manchester United Kobbie Mainoo huenda asiitwe na kocha wa Uingereza Gareth Southgate wiki hii. Kuna mipango ya yeye kupandishwa kutoka U19 hadi U21 wa Uingereza kwa mara ya kwanza kabla ya kuitwa timu ya wakubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live