Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda KMC bila milioni 100 humpati

Raheem Shomary.jpeg Raheem Shomary

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya KMC FC imeziambia Timu zinazotaka kumsajili Beki kinda wa Klabu hiyo, Raheem Shomary kutoa kiasi kisichopungua Shilingi Milioni 100 ili kupata saini yake.

Klabu ya KMC FC imeziambia Timu zinazotaka kumsajili Beki kinda wa Klabu hiyo, Raheem Shomary kutoa kiasi kisichopungua Shilingi Milioni 100 ili kupata saini yake. Kinda huyo mwenye umri wa Miaka 20 amekuwa akihitajika na Simba pamoja na Singida Black Stars.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live