Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda Brazil aweka rekodi

Endrick Brazil Kinda wa timu ya taifa ya Brazil na Real Madrid Endrick

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinda wa timu ya taifa ya Brazil na Real Madrid Endrick ameingia kwenye rekodi ya Brazil ya kucheza akiwa na umri mdogo awali mastaa kama Pele , Edu , Coutinho walikuwa kwenye rekodi hiyo na kwa sasa Endrick anakuwa mchezaji wa nne kwenye historia ya soka la Brazil kucheza timu ya taifa ya wakubwa akiwa na umri wa miaka 17.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live