Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda Azam FC atua Canada

Kachweleee Mshambuliaji chipukizi wa Azam FC, Cyprian Kachwele

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji chipukizi wa Azam FC, Cyprian Kachwele amesajiliwa na klabu ya Vancouver Whitecaps inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani (MLS).

Mshambuliaji chipukizi wa Azam FC, Cyprian Kachwele amesajiliwa na klabu ya Vancouver Whitecaps inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani (MLS). Kachwele amelelewa kwenye kituo cha Azam FC Academy kabla ya kupandishwa timu kubwa mwishoni mwa msimu uliopita akifunga mabao matatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live