Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda Azam FC atua Canada

Cypirian Kachwele Cypirian Kachwele

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji nyota wa klabu ya Azam FC U20 Cypirian Kachwele amejiunga na kikosi cha Vancouver whitecaps cha nchini Canada inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani, Nizar Khalfan pia aliwahi kucheza katika kikosi hicho.

Mshambuliaji nyota wa klabu ya Azam FC U20 Cypirian Kachwele amejiunga na kikosi cha Vancouver whitecaps cha nchini Canada inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani, Nizar Khalfan pia aliwahi kucheza katika kikosi hicho. Kachwele alikuwa mfungaji bora namba mbili (6) kwenye ligi ya vijana U20 nyuma ya Athuman Makambo aliyemaliza kinara akiwa na magoli 7 msimu huu wa 2022/23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live