Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinda Arsenal aiteka Ligue 1

Folarin Balogun Straika wa Arsenal, Folarin Balogun

Thu, 18 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa Arsenal, Folarin Balogun, ambaye sasa anacheza kwa mkopo Reims, amefunga mabao 19 kwenye Ligue 1 msimu huu.

Straika wa Arsenal, Folarin Balogun, ambaye sasa anacheza kwa mkopo Reims, amefunga mabao 19 kwenye Ligue 1 msimu huu. Mchezaji pekee aliyefanya vyema zaidi ya Balogun katika karne ya 21 katika msimu wake wa kwanza kwenye Ligi ya Ufaransa ni Zlatan Ibrahimovic (aliyefunga mabao 30 msimu wa 2012-13).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live