Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kina Chama wawatungua kina Aucho

Chama Aucho Kina Chama wawatungua kina Aucho

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' imekubali kichapo cha 3-0 dhidi ya Zambia katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa katika dimba la Hamriya, Sharjah, Dubai.

FT: ZAMBIA 3-0 UGANDA

⚽⚽ Daka (P) 6' 69'

⚽ Sakala 62'

Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho alicheza dakika zote 90 akiwa nahodha wa The Cranes huku Clatous Chama akiingia mnamo dakika ya 59 kwa upande wa Chipolopolo akichukua nafasi ya Golden Mafwenta.

Chama anatarajiwa kukwea pipa kutoka UAE kurejea Tanzania tayari kwa mchezo wa ufunguzi wa African Football League dhidi ya Al Ahly siku ya Ijumaa.

MATOKEO MENGINE

Angola 0-0 D.R Congo

Madagascar 2-1 Benin

Saudi Arabia 1-3 Mali

Libya 1-1 Niger.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live