Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kina Aziz Ki wawachapa kina Mayele

Aziz Ki Mayele 484.jpeg Kina Aziz Ki wawachapa kina Mayele

Thu, 11 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Congo DR wanachezea kichapo toka kwa Burkina Faso katika mchezo wa kirafiki huko Abudhabi.

Mabao ya Mohamed Konate na Ibrahim Toure yakiwapa uongozi Burkina Faso mapema tuu kipindi cha kwanza.

Ndipo Congo wakaja vizuri kipindi Cha pili baada ya mlinzi wa kati Chancel Mbemba kufunga bao la kufutia machozi. Henock Inonga na Stephen Azizi Ki hawakuanza katika mchezo huuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live