Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kimpembe kuendelea kuitumikia PSG

Kimpembe Kuendelea Kuitumikia PSG Kimpembe kuendelea kuitumikia PSG

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Presnel Kimpembé amemwaga wino kuendelea kuitumikia klabu ya PSG hadi Juni 2026.

Presnel Kimpembé amemwaga wino kuendelea kuitumikia klabu ya PSG hadi Juni 2026. Kimpembe bado anaendelea kupata nafuu kutokana na jeraha la kifundo cha mguu alilopata na atafanyiwa upasuaji siku zijazo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live