Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kimmich hana furaha Bayern Munich

Joshua Kimmich Furaha Joshua Kimmich

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Bayern Munich na timu ya Taifa ya Ujerumani Joshua Kimmich hana furaha ndani ya Bayern Munich.

Ikiwa hataongeza mkataba wake upya miamba ya Hispania Barcelona wanaweza kuweka mguu kati ili kumnunua ifikapo mwaka 2024.

Kimmich amekuwa na kiwango bora ndani ya Bayern akimudu kucheza nafasi za mlinzi wa kulia na kiungo wa kati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live