Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kimenuka! Nunez afuta picha zote za Liverpool kwenye 'Page' yake

Darwin Kimenuka! Nunez afuta picha zote za Liverpool kwenye 'Page' yake

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool FC raia wa Uruguay Darwin Nunez amefuta picha zote akiwa na jezi ya Liverpool FC kwenye ukurasa wake wa Instagram, sababu kubwa nj maneno na ukosoaji unaoendelea kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo juu yake .

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool FC raia wa Uruguay Darwin Nunez amefuta picha zote akiwa na jezi ya Liverpool FC kwenye ukurasa wake wa Instagram, sababu kubwa nj maneno na ukosoaji unaoendelea kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo juu yake . Kitendo hiki kinaacha maswali ya ziada kuhusu mustakabali wa Staa huyo kuelekea msimu ujao ndani ya kikosi cha Majogoo wa Jiji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live