Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kim Min-jae awakuna Vigogo EPL

Kim Min Jae.jpeg Kim Min-jae,

Fri, 7 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna vita kali inaendelea kati ya Manchester United, Liverpool na Tottenham kwenye mchakato wa kuiwania huduma ya beki kisiki wa Napoli, Kim Min-jae, [26] ambaye kwenye mkataba wake kuna kipengele kinachomruhusu kuondoka kwenye viunga hivyo ikiwa timu inayo-mhitaji itatoa Pauni 44 milioni tu.

Kuna vita kali inaendelea kati ya Manchester United, Liverpool na Tottenham kwenye mchakato wa kuiwania huduma ya beki kisiki wa Napoli, Kim Min-jae, [26] ambaye kwenye mkataba wake kuna kipengele kinachomruhusu kuondoka kwenye viunga hivyo ikiwa timu inayo-mhitaji itatoa Pauni 44 milioni tu. Beki huyu wa Kimataifa wa Korea Kusini, msimu huu amecheza mechi 36 za michuano yote na kuonyesha kiwango bora kinachovutia vigogo Ulaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live