Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kilimanjaro Queens yatupwa nje CECAFA Challenge

Kilimanjaro Queens.jpeg Kilimanjaro Queens yatupwa nje CECAFA Challenge

Fri, 10 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ndoto za Tanzania Bara kutwaa Kombe la CECAFA Challenge Wanawake 2022 zimeota mbawa baada ya Kilimanjaro Queens kuchapwa 2-1 na Burundi jana Uwanja wa FTC Njeru Jijini Kampala nchini Uganda.

Bao pekee la Kilimanjaro Queens limefungwa na Opa Clement Sanga na sasa Burundi itakutana na Uganda katika Fainali, wakati Tanzania Bara itawania nafasi ya tatu dhidi ya Ethiopia Jumamosi.

Uganda iliichapa Ethiopia 1-0 katika mchezo uliokwenda dakika 120.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live