Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kilichojificha nyuma ya pazia kipigo cha bao 5 cha Asas Djibout

Pacome Zouazoua Goal.jpeg Hii ndio siri kipigo cha bao 5 Asas Djibout Chamazi

Sun, 27 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya Yanga kuibuka na ushindi mnono wa mkondo wa pili dhidi ya Asas Djibout na kuibua mijadala juu ya uwezo wa Yanga ama udhaifu wa wapinzani wao.

Yote tisa, kumi uwezo wa Yanga kuongeza na kupunguza kasi ya mchezo vile wapendavyo ni code ngumu sana kwa sasa kuifungua unless wachezaji wako wawe fiti sana.

Sifikiri kama Asas walifunguka sana but walikuwa wakifuatwa ni kama vile ile kasi inawapa tabu sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: