Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kila mchezaji kulipa Sh 10,000 kila mwezi

Simba Yanga Kim Kila mchezaji kulipa Sh 10,000 kila mwezi

Tue, 15 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkutano Mkuu wa 17 wa kawaida wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umeazimia kuwa kuanzia Januari mwakani mchezaji wa Ligi Kuu hatoruhusiwa kucheza bila kusajiliwa na kulipa ada katika Chama cha Wachezaji (SPUTANZA).

Bosi huyo alisema kwa kila mchezaji anatakiwa kulipa ada ya Sh 120,000 kwa mwaka ambapo kila mwezi ni Sh 10,000.

“Wachezaji wa Ligi Kuu bila kusajiliwa SPUTANZA na kulipa ada hawataruhisiwa kucheza lakini hawa tutafuatilia kupitia klabu zao ambapo ada zitakatwa kwenye mishahara yao, vyama visimamie wanataaluma wake,” alisema Rais Wallace Karia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live