Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi kipo safi, hakuna tunaemkosa-Bumbuli (+Video)

Hbumbuli 20210630 0003 Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wakiwa wamebaki na michezo miwili kumaliza mwaka huu Kikosi cha Ynaga leo Kinaingia Kambini kwa minajili ya kujiweka sawa kumalizana na michezo hiyo.

Mchezo wake unaofuata ni dhidi ya Biashara United katika Uwanja wa Mkapa Dar, na Afisa Habari wa Klabu hiyo amewahakikishia mashabiki kuwa mbali na wale wenye shida kwa sasa, hakuna mchezaji atakaekosa mchezo wao dhidi ya Biashara.

Msikie Bumbuli akifafanua;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live