Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi kamili cha Simba kilichosafiri kuifuata Horoya

Simba 1 Safi Kikosi kamili cha Simba kilichosafiri kuifuata Horoya

Thu, 9 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi Cha Simba SC kilichosafiri leo saa 10 alfajiri kuelekea nchini Guinea kwaajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya Athletic Club.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi hii ya February 11, 2023 kwenye Uwanja wa General Lansana Conte nchini Guinea kuanzia saa 19:00 Usiku.

Kikosi hicho kimeondoka na msafara wa watu 45 ambapo wachezaji watakuwa 24 benchi la ufundi pamoja na viongozi wa timu.

Kiungo Mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza, Peter Banda pamoja na Jonas Mkude hawatokuwa sehemu ya Wachezaji wanaosafiri kuifuata Horoya Athletic Club kesho na hakuna taarifa yoyote kutoka Simba inayoelezea sababu za Wachezaji hao kutokuwa sehemu ya safari hiyo.

Orodha kamili ya Wachezaji wa Simba SC wanaosafiri kuifuata Horoya Athletic Club ya Guinea kwenye mchezo wa CAF Champions League hatua ya Makundi.

MAKIPA

1:Aishi Manula

2:Beno Kakolanya

3:Ally Salim

MABEKI

4:Shomari Kapombe

5:Gadiel Michael

6:Mohamed Hussein

7:Israel Mwenda

8:Joash Onyango

9:Henock Inonga

10:Mohammed Quatara

11:Kennedy Juma

12:Erasto Nyoni

VIUNGO

13:Sadio Kanoute

14:Mzamiru Yassin

15:Pape Osmane Sakho

16:Kibu Denis

17:Nassor Kapama

18:Ismael Sawadogo

19:Clatous Chama

WASHAMBULIAJI

20:John Bocco

21:Mohammed Mussa

22:Jean Baleke

23:Habibu Kyombo

24:Moses Phiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live