Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi cha awali cha Taifa Stars kwa ajili ya AFCON 2023

Taifa Stars Imetotaaa Kikosi cha awali cha Taifa Stars kwa ajili ya AFCON 2023

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha awali cha Taifa Stars chenye wachezaji 53 kwa ajili ya AFCON 2023 itakayoanza kurindima kuanzia Januari 13, 2024 nchini Ivory Coast.

Nyota 21 toka nje ya Bara la Afrika

Nyota 6 wanacheza soka la kulipwa lakini ndani ya Mipaka ya bara la Afrika

Nyota 1 hana timu ni mchezaji huru

Jumla tuna nyota wanaocheza soka la kulipwa 28.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live