Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi cha Yanga kimewasili Dar es Salaam kikitokea Mwanza kibabe

YANGA 11 Kikosi cha Yanga kimewasili Dar es Salaam kikitokea Mwanza kibabe

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: Globalpublishers

Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Dar es Salaam kikitokea Mwanza ambapo walicheza mechi ya Ligi Kuu NBC dhidi ya wenyeji wao Geita Gold jana Jumamosi na kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Dar es Salaam kikitokea Mwanza ambapo walicheza mechi ya Ligi Kuu NBC dhidi ya wenyeji wao Geita Gold jana Jumamosi na kuibuka na ushindi wa bao 1-0. Yanga inajiandaa kuvaana na Klabu Africain ya nchini Tunisia Novemba 2, 2022 katika dimba la Benjamini Mkapa mechi ya kwanza ya kuwania tiketi ya kufuzu hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: Globalpublishers