Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi cha Yanga dhidi ya Mashujaa FC

Yanga Caf Mks Kikosi cha Yanga dhidi ya Mashujaa FC

Thu, 8 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC itakayopigwa leo Alhamisi, Februari 08, 2024.

Mchezo huo wa Raundi ya 14 ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 unatarajiwa kupigwa February 08, 2024 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar Es Salaam kuanzia Saa 1:00 Usiku.

1:Abutwalib Mshery

2:Kouassi Yao

3:Nickson Kibabage

4:Gift Fred

5:Dickson Job (C)

6:Khalid Aucho

7:Max Nzengeli

8:Mudathir Yahya

9:Joseph Guede

10:Pacome Zouzoua

11:Clement Mzize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live