Sat, 18 Nov 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inashuka dimbani kuikabili timu ya Taifa ya Niger kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu fainali ya kombe la Dunia.
Taifa Stars itashuka dimbani saa moja jioni katika uwanja wa Marrakech Annex huko Morocco na baada ya hapo watarejea nchi kucheza dhidi ya Morocco siku ya Jumanne.
Hiki hapa Kikosi cha Taifa Stars kinachoanza mchezo wa leo;
Chanzo: www.tanzaniaweb.live