Sun, 19 Sep 2021
Chanzo: millardayo.com
Kikosi cha Timu ya TP Mazembe kimeingia nchini Tanzania kwa kutumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Simba S.C katika siku ya Simba Day Septemba 19, 2021 utakaofanyika uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.
Kikosi cha Timu ya TP Mazembe kimeingia nchini Tanzania kwa kutumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Simba S.C katika siku ya Simba Day Septemba 19, 2021 utakaofanyika uwanja wa Mkapa Dar es Salaam. Baadhi ya Mashabiki wamelalamika kutoona baadhi ya nyota wa Wababe hao wa Soka barani Afrika.
Chanzo: millardayo.com