Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting

FEjhJ8VXwAEKM U (600 X 726) Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Ruvu leo

Fri, 19 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC, jioni ya leo itashuka katika Uwanja wa CCM kirumba Jijini Mwanza, kuwavaa "Barcelona ya Bongo" timu ya Ruvu Shooting.

Mchezo huo ni mchezo wa raundi ya Sita, Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia ligi).

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya maafande hao wa Mlandizi Mkoani Pwani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live