Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi cha Mashujaa FC dhidi ya Yanga

Mashujaa Mz Kikosi cha Mashujaa FC dhidi ya Yanga

Thu, 8 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Mashujaa FC ya Kigoma dhidi ya Yanga SC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC itakayopigwa leo Alhamisi, Februari 08, 2024.

Mchezo huo wa Raundi ya 14 ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 unatarajiwa kupigwa February 08, 2024 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar Es Salaam kuanzia Saa 1:00 Usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live