Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi bora Cha msimu EPL chatajwa, Son nje

EPL TEAM OF 2021 22 Kikosi bora cha msimu EPL 2021/2022

Fri, 10 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chama cha Soka nchini England FA, kimetangaza kikosi bora cha EPL msimu wa 2021/2022.

Kikosi hicho kimetawaliwa zaidi na Nyota wanaotoka katika kikosi cha Liverpool ambao wametoa wachezaji 6, wakifuatiwa na Mabingwa Man City waliotoa wachezaji watatu huku Chelsea na Man United wakitoa mchezaji mmoja mmoja.

Katika hali ya kushangaza wengi winga wa Tottenham Son hajajumuishwa katika listi hiyo licha ya kuibuka mfungaji bora kwa kupachika mabao 23 sambamba na Salah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live