Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikao cha dharura EPL, Kuamua nini kifanyike kwa sasa

Premier League Trophy Huenda EPL ikasimama kutazamia hali ya Corona

Mon, 20 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wadau wa soka nchini Uingereza wamepanga kukutana kwa dharura Jumatatu hii ili kujadili ongezeko la kasi na madhara ya Ugonjwa wa UVIKO-19 kwenye EPL hivi karibu.

EPL imekumbwa na tatizo la maambukizi kitu ambacho kimesababisha kuahirishwa kwa michezo 6 kati ya 10 iliyopangwa kuchezwa mwishoni mwa wiki hii.

Kutokana na hali ilivyo EPL italazimika kusimamisha michezo yake iliyopangwa kuchezwa siku za hivi karibuni hadi kufikia siku ya tarehe 02 Januari 2021.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live