Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kigogo Real Madrid kuivuruga Liverpool

Trent Arnold .jpeg Mlinzi wa Liverpool, Trent Alexander Arnold

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Real Madrid wanafuatilia kwa karibu sana kuhusu mustakabali wa mkataba wa beki wa kulia Trent Alexander-Arnold ndani ya Liverpool

Mkataba wake wa sasa unafikia kikomo Juni 2025 na mpaka sasa bado hakuna mazungumzo ya mkataba mpya

Liverpool hawajaonesha kiashiria chochote cha kutaka kumuuza beki huyo wa kimataifa wa England

Na pia bado hakuna mtazamo wowote uliotolewa na beki husika .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live