Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiernan Dewsbury-Hall na balaa lake Championship

Dews Bury Kiernan Dewsbury-Hall

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya key players kwenye kikosi cha Enzo Maresca pale Leicester City ni Kiernan Dewsbury-Hall.

Kila dalili zinaonesha kuwa Leicester City anarudi Premier League, hiki chuma tayari kina goli 10 na pasi 12 za mwisho huko Championship. Ni moja kati ya wachezaji wachache wenye double figures kwenye magoli na assists.

Ukikutana na Leicester, battle ya kiungo itaongozwa na huyu mwamba akishirikiana na Harry Winks.

Fundi kweli kweli na guu lake la chooni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live